Description
Nyumba inavyumba vi4 vya kulala vyumba vi2 master bedroom Ina setting room dining room kitchen store public toilet eneo lake ni sqm 800 documents Hati ya mauziano serikali za mtaa, nyumba ipo vizuri maji yapo umeme upo nyumba mpya pia ipo karibu sana na barabara kubwa ya lami, njoo ukague tufanye biashara garama za kupelekwa saiti ni elfu 20,000/=