Description
Nyumba inavyumba vi3 vya kulala kimoja master bedroom Ina setting room dining room kitchen store public toilet eneo lake ni sqm 700 documents Hati ya mauziano serikali za mtaa, nyumba ipo Kilometer 1 na nusu kutoka bagamoyo road, njoo ukague tufanye biashara garama za kupelekwa saiti kuona ni elfu 20,000/=