Description
Nyumba ipo mbezi mwisho kibanda cha mkaa inavyumba vitatu master bedroom sitting room dining room kitchen store toilet pablic ukubwa wa eneo ni mita 30x30 sawa SQMT 900 eneo limepimwa na kupandwa mawe Nyumba ipo kwenye barabara kuu ya lami eneo ni tambalale kabisa,maji dawasco umeme vyote vipo umbali kutoka kibanda cha mkaa stendi ni kilomita 2 tu barabara safi magari ya aina zote yanapita bila tatizo// usafili bajaji 500 pikipiki 1000