Description
NJOO TUMALIZE BIASHARA KWA MHUTAJI SILIASI INAUZWA MBAGALA CHAMAZI KWA TSHG MIL 35,000,000/= INA FENSI YA KUTOSHA INA VYUMBA VITATU 3 VYA KULALA CHUMBA KIMOJA MASTER BEDROOM DINNING ROOM PUBLIC TOILET JIKO NA SITTING ROOM HUDUMA ZOTE ZA KIJAMII ZIPO JIRANI