Description
NYUMBA YA KISASA INAUZWA MBAGALA CHAMAZI KWA MHUTAJI. KWA TSHG MIL 35 UKUBWA ENEO SQM 400 INA VYUMBA VITATU 3 VYA KULALA CHUMBA KIMOJA KINA MASTER BEDROOM DINNING ROOM PUBLIC TOILET JIKO NA SITTING ROOM HUDUMA ZOTE ZA KIJAMII ZINAPATIKANA JIRANI