Details
Description
Vyumba 5 vyote master bedrooms na chumba kimoja ni study room au chumba cha ibada, maji ya kisima cha umeme na umeme upo, dinning, sitting room, eneo 1525 square meters, electric fence, parking kubwa sana, hati ipo, mazingira tulivu kabisa, surveillance camera etc Bei 270,000,000 Milioni 📞/ WhatsApp 0758218269 Website www.ishai.co.tz Ishai Real Estate Simu yako dalali wako.