Details
Description
Nyumba imegawanyika katika apartments mbili, kila apartment ina vyumba vitatu kimoja master, sitting room, dinning, kitchen, public toilet. Kuna maji na umeme, eneo ni square meters 800, ina mkataba wa mauziano. BEI 80,000,000 đ/WhatsApp 0758218269 website www.ishai.co.tz Ishai Real Estate Simu yako dalali wako đïž