Description
Nyumba inavyumba vi3 vya kulala chumba kimoja master bedroom Ina setting room dining room kitchen store public toilet eneo lake ni sqm elfu 1,000 documents Hati ya mauziano serikali za mtaa, eneo limesharasimishwa na mawe yameshawekwa, njoo ukague tufanye biashara garama za kupelekwa saiti kuona ni elfu 20,000/= nyumba ipo mita 800 kutoka barabara kubwa ya lami ya Sala Sala