Description
Nyumba inavyumba vi3 vya kulala kimoja master bedroom Ina setting room dining room kitchen store public toilet eneo lake ni sqm 800 documents Hati miliki ipo, nyumba maji yapo umeme upo, pia haipo mbali na barabara kubwa, njoo ukague garama za kupelekwa saiti ni elfu 20,000/=