Description
Nyumba inavyumba vi3 vya kulala chumba kimoja master bedroom Ina setting room dining room kitchen store public toilet nyumba ipo ndani ya fensi, maji yapo umeme upo pia ina flem 2 za biashara, njoo ukague tufanye biashara garama za kupelekwa saiti ni elfu 20,000/= Nb: nyumba haipo mbali na barabara kubwa ya lami inayotoka chamanzi kwenda Chanika