Description
Nyumba inavyumba vi2 kimoja master bedroom Ina sebule, jiko, choo cha pamoja, nyumba ipo ndani ya fensi ina parking ya kutosha kupaki gari ndogo 3, maji yapo umeme upo, nyumba ipo mita 300 kutoka barabara ya lami njoo ukague garama za kupelekwa saiti kuona ni elfu 20,000/=