Description
Nyumba inavyumba vi3 vya kulala chumba kimoja master bedroom Ina setting room dining room kitchen store public toilet eneo lake ni sqm 400 documents Hati ya mauziano serikali za mtaa, nyumba mpya umeme bado ila kashalipia, maji yapo njoo ukague garama za kupelekwa saiti ni elfu 20,000/=