18.05.2022Tanzania, Dar Es Salaam
Description
Nyumba inavyumba vi3 vya kulala kimoja master bedroom Ina flem Kama inavyoonekana hapo kwenye picha, nyumba ipo vizuri maji yapo umeme upo parking ipo ya tosha, njoo ukague tufanye biashara garama za kupelekwa saiti ni elfu 20
Chat with Mpanga
Call Mpanga