Description
Nyumba inavyumba vi3 vya kulala kimoja master bedroom Ina setting room dining room kitchen store public toilet eneo lake ni sqm 400 documents Hati ya mauziano serikali za mtaa, nyumba ipo vizuri maji yapo umeme upo, umbali kutoka stendi ya daladala ni nimwendo wa dakika 4 tu, kwa miguu, njoo ukague garama za kupelekwa saiti ni elfu 20,000/= kwa picha zaidi njoo WhatsApp