18.05.2022Tanzania, Dar Es Salaam

Inauzwa ipo Mbagala Mbande kisewe

TZS 37 000 000

Description

Nyumba kubwa inavyumba 6 na flem 2 Banda la uwani linavyumba 2 vya kulala, nyumba Kama inavyoonekana bado finishing, njoo ukague tufanye biashara garama za kupelekwa saiti kuona ni elfu 20,000/=

Mpanga

Member since 2020.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar Es Salaam