Description
Inauzwa ipo Kinyerezi Dar es salaam, nyumba inavyumba 6 chumba kimoja master, Ina setting room dining room kitchen store public toilet eneo lake ni sqm 800 documents Hati miliki ipo, nyumba tailiz kwa ndani bado, umeme upo maji yapo, njoo ukague tufanye biashara garama za kupelekwa saiti ni elfu 20,000/=