02.06.2022Tanzania, Dar Es Salaam

Inauzwa ipo Chanika Dar es salaam

TZS 13 000 000

Description

Pagale linavyumba vi3 kimoja master bedroom Ina setting room dining room kitchen store, eneo lake ni sqm 400 njoo ukague tufanye biashara garama za kupelekwa saiti ni elfu 20,000/=

Mpanga

Member since 2020.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar Es Salaam