28.02.2022Tanzania, Dar Es Salaam

Inauzwa, Floor Nzima Yenye Apartment 2, Kariakoo - Dar

TZS 280 000 000

Description

• Mahali: Mtaa wa Udoe • Bei: TZS 280,000,000 • Ukubwa wa floor: 250 sqm • Nyaraka: Sub Title • Monthly service charge: Hakuna . Wa Makazi Brokers In real estate we connect . ghorofa ya pili (hakuna lift) Kila apartment: haina samani (unfurnished) • chumba kimoja master na viwili vya kawaida • washroom ya jumuiya • jiko lenye makabati • grilled balcony • malumalu sakafuni • nakshi za ndani • feni za juu • maji moto bafuni • parking ya nje • maji dawasa • hewa na mwanga vya kutosha • ni nzuri na ya kuvutia . • Visit our listing to find more and different properties. • If you can't get enough of our properties, send a request of your choice through our contacts

AssetKONKI

Member since 2014.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar Es Salaam