Description
IKO MTAA MZURI KIMAKAZI NA KIBIASHARA UMBALI TOKA STENDI YA MAGARI DK 2 KWA KUTEMBEA IPO NYEBURU MANISPAA YA ILALA DAR ES SALAAM KWA TSHG MIL 30,000,000/= UKUBWA ENEO SQM 400 INA VYUMBA VITATU 3 VYA KULALA CHUMBA KIMOJA KINA MASTER BEDROOM DINNING ROOM PUBLIC TOILET JIKO NA SITTING ROOM HUDUMA ZOTE ZA KIJAMII ZIPO JIRANI SANA WOTE MNAKARIBISHWA SANA BADO IPO WAHI MTEJA