Description
IKO JIRANI SANA NA STENDI YA CHANIKA MWISHO MJINI MANISPAA YA ILALA DAR ES SALAAM KWA TSHG MIL 24,000,000/= UKUBWA ENEO SQM 300 INA VYUMBA VITATU 3 VYA KULALA CHUMBA KIMOJA KINA MASTER BEDROOM PUBLIC TOILET JIKO NA SITTING ROOM NJOO TUKUHUDUMIE KWA UAMINIFU MKUBWA SANA KWA MHUTAJI SILIASI NIPIGIE SIMU