Description
NJOO UKAGUE NYUMBA TUMALIZE BIASHARA KWA MHUTAJI SILIASI INAPATIKANA CHANIKA MWISHO STENDI KWA TSHG MIL 24 UKUBWA WA ENEO SQM 400 INA VYUMBA VITATU 3 VYA KULALA CHUMBA KIMOJA MASTER BEDROOM DINNING ROOM PUBLIC TOILET JIKO NA SITTING ROOM UMEME UPO MAJI YAPO IKO DK 3 TOKA STENDI YA CHANIKA KARIBUNI SANA