Description
NYUMBA YA KISASA INAUZWA KWA TSHG MIL 40,000,000/= MIL 40 UKUBWA ENEO SQM 500 INA DOCUMENT YA MAUZIANO YA OFFICE YA SERIKALI YA MTAA INA VYUMBA VITATU 3 VYA KULALA CHUMBA KIMOJA KINA MASTER BEDROOM DINNING ROOM PUBLIC TOILET JIKO NA SITTING ROOM HUDUMA ZOTE ZA KIJAMII ZINAPATIKANA JIRANI SANA