Description
NYUMBA YA WAPANGAJI INAUZWA CHANIKA BUYUNI CCM DAR ES SALAAM KWA TSHG MIL 35 UKUBWA WA ENEO SQM 450 INA JUMLA YA VYUMBA SITA 6 VYOTE VINAWAPANGAJI TAYARI UMBALI TOKA STENDI MITA 50 TU KWA MHUTAJI WA NYUMBA HII NJOO UKAGUE TUZUNGUMZE BIASHARA NA WAPANGAJI WAMO NDANI WOTE MNAKARIBISHWA SANA BADO IPO WAHI MTEJA.