Details
Description
Hi ni nyumba ya kisasa ambayo ipo MACHIMBO, KITUNDA. Kiwanja chake kina ukubwa wa SQM. 750. Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO. Ina vyumba vya kulala 4 (Masta 1) Pia Ina Sebule,Jiko,Dining-room,Store na Choo cha Familia ndani. Ipo ndani ya Fensi, Ina AC, Parking ya kutosha na ni Jirani na Barabara ya Lami. _________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali. _________mskv