15.05.2025Dar es Salaam

IMESHUSHWA BEI,KIVULE FREMU 10

TZS 115 000 000

Details

Terms
Monthly in advance
Price per square unit
No
Square units
1400 m2

Description

Hii ni nyumba nzurj ya kisasa na yenye nafasi. Ipo KIVULE FREMU 10, Jirani na Hospitali ya Wilaya na jiranj pia na Kotuo cha Daladala. Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 1,400. Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara. Vyumba 3 (Masta 1) Sebule,Jiko,Dining-room,Store na Choo cha Familia ndani. Nyumba ina Kisima cha Ku-Drill na Parking yenye Paving. ___ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000 (Unalipa wewe MNUNUZI Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. ___mpg

Dalalitz G.

Member since 2024.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam