Details
Description
Nyumba nzuri ya Kisasa Inauzwa milioni 98 maongezi yapo 📍 IPO *BUNJU B* - Dar es salaam - Tanzania ▫Ina Vyumba Vitatu vya Kulala ◇Master Bedroom ▫Sitting room ▫Dining room ◇ Kitchen ◇Store ▫ Public toilet ▫Ukubwa wa kiwanja: sqmt 500 ◇document clean TITLE DEED ( Hati miliki kutoka wizara ya aridhi) ◇maji safi dawasco umeme vyote vipo ◇Umbali 800 tu kutoka stend ya BUNJU B au Bagamoyo road yani mein Road