Description
TSHS MIL 130, NYUMBA INAUZWA IKO-DAR-ES-SALAAM Tz MAHALI-TEGETA WAZO MSIGANI UPANDE WA CHINI INAFACE BARABARA YA LAMI MBELE KIDOGO YA KANISA LA KKKT MBEZI BEACH CONNER PLOT HOUSE , SQM 1500 NYARAKA ZA UMILIKI SALES AGREEMENT DOCUMENTS ZA SERIKALI ZAMTAA PIA IME PIMWA MAWE YAPO BECON NYUMBA NZURI YA KISASA YA FAMILIA KUBWA INAJITEGEMEA YENYE;- Vyumba vitatu vya kulala kimojawapo ni Master yenye makabati, jacuzzi AC, Dinning, Sebule yenye AC, Jiko zuri lenye Makabati, Stoo & Choo/Bafu vya ndani public Pia kwa nje ila ndani ya fence ina boycott yenye Vyumba viwili vyakulala na choo chake Pia Ina frem 3 kwannje Sifa nyingine ina;- Gypsum, Tiles Slides, Windows Umeme x Maji vyote vipo Garden nzuri maua/ukoka Cars Parking space ipo Pavingblocks Fenced house price Milion 130 Maongezi UFAFANUZI KIDOGO;- NYUMBA HII MWENYE NYUMBA ANAISHI HAPA MKIKUBALIANA ANA HAMA KALIBUNI SANAA WATEJA WANGU