07.06.2022Tanzania, Dar Es Salaam

House for sale

TZS 250 000 000

Description

NYUMBA INAUZWA KALI MNOOO. NYUMBA YA KISASA KABISA. NYUMBA HII IPO KIBAMBA KIBWEGERE. UKITOKEA MJINI KWEDA KIBAHA IPO KULIA KWAKO UMBALI TOKA MOR ROAD NI KAMA KILOMITER 3 KASORO KUMEJENGEKA SANA NA USALAMA NI WA UHAKIKA. NYUMBA INA VYUMBA 6 VYA KULALA. KATI YA HIVYO 4 MASTER BEDROOM. IKO NDANI YA FENS. UKUBWA WA ENEO NI SQM 1,362.INA TITLE DID. INA KISIMA KIREFU MAJI SAFI. NA KUNA MAJI YA DAWASCO PIA. FULL SECURITY. NA HAPO KIBWEGERE IPO JIRANI NA STAND YA USAFIRI UPITAO NDANI. BEI ML 250 MAONGEZI YANAKARIBISHWA. AGEN ANATOA ASILIMIA 7 YA MAUZO

Said ally

Member since 2020.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar Es Salaam