Description
Nyumba nzuri sana inauzwa maeneo ya Mbagala-Vigozi, Mponda. Ina master mbili na vyumba viwili vinavyojitegemea. Ina jiko, store, sebule na dinning. Nyumba ina mifumo ya maji na umeme tayari kwa ajili ya kuishi familia. Nyumba ipo barabarani (ndani ya barabara za mtaa) pia kuna nafasi ya parking. Ipo eneo zuri sana.