Description
Nyumba inauzwa million 400 maongezi yapo Nyumba ipo mbezi beach jogoo upande wa chini umbali mita 200 kutoka barabara kuu ya bagamoyo Road, Nyumba inavyumba vitatu vyote ni master bedroom sitting room dining room kitchen store toilet pablic pia ina servant cotter ya chumba kimoja ukubwa wa eneo ni SQMT 800 document clean TITLE DEED mteja analuhusiwa kukagua muda wowote Nyumba haina changamoto yoyote