Details
Description
NYUMBA 🏡 GHOROFA 1 YA KISASA INAUZWA DSM 🇹🇿 ♦️ Mahala: Dsm, Kijichi ♦️ Mazingira: Ni mazuri Sana, TULIVU, yenye kuvutia. ➖ Nyumba Imezungukwa na Maghorofa ♦️ Eneo: Kiwanja kimepimwa na hati ya wizara m² 1660. ➖ Eneo la kufuhia & Bustani lipo ndani ♦️ Vyumba: ➖ Ina Vyumba Vitano Vinne 4 ni Masters vipo Chini na Kimoja kawaida kipo juu. ➖ SEBULE KUBWA 2 ➖ Dining IPO 1 tu ➖ Vyoo vya public Viwili ndani & nje ➖ Majiko mawili ndani na nje *BEI ELEKEZI MIL 350 TSHS* CALLS 📞 WHATSAPP +2557