Description
Nyumba inauzwa ni nzuri tena sana location bunju mingoi Huduma zote zakijamii zina patikana kama maji naumeme n,k mahali ilipo bunju mingoi ukubwa wakiwanja square mt 800 kutoka BALA BALA yalami mpaka kwenye nyumba ni nusu kilometa Kalibuni sana wateja