Description
Nyumba inauzwa ipo bunju kiharaka Ukubwa wakiwanja 20 kwa 20 Bei milioni 18 Uduma zote zakijamii zina patikana kama maji naumeme n,k Kutoka lami ni kilometer 2t Uduma ya kuona nyumba elfu 20 Nyumba ina vyumba 3 Kimoja ni master Pablik Sebre Dining Jiko Nyumba bado kupaua tu Ukipenda kitu usisit kupiga sim ili ujibiwe kwa alaka said