18.05.2022Tanzania, Dar Es Salaam

HOUSE FOR SALE CHANIKA MWISHO MJINI TSHG MIL 38

TZS 38 000 000

Description

NYUMBA YA KISASA INAUZWA CHANIKA MWISHO MJINI MANISPAA YA ILALA DAR ES SALAAM TANZANIA ?? KWA TSHG MIL 38,000,000/= UKUBWA WA ENEO SQM 500 INA DOCUMENT YA MAUZIANO YA OFFICE YA SERIKALI YA MTAA NYUMBA INA VYUMBA VITATU 3 VYA KULALA CHUMBA KIMOJA KINA MASTER BEDROOM DINNING ROOM PUBLIC TOILET JIKO NA SITTING ROOM HAIKO MBALI NA BARABARA KUU NJOO TUKUHUDUMIE KWA UAMINIFU MKUBWA SANA OFFICE YETU INAPATIKANA CHANIKA MWISHO STENDI WOTE MNAKARIBISHWA SANA BADO IPO WAHI MTEJA.

MR CHAPU CHAPU

Member since 2020.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar Es Salaam