08.06.2022Tanzania, Dar Es Salaam

House for sale at kigamboni mji mwema

TZS 80 000 000

Description

Nyumba inauzwa Location:- Kigamboni Mjji Mwema (Kibugumo) iko km 10 kutoka Ferry Document:- Sales Agreement Asking price:- Tsh Million 80 Plot size:- SQM 400 Muundo wa Nyumba:- 1.Ina Vyumba vitatu (3) vikubwa vya kulala 2.Chumba Kimoja ni master 3.Sebule kubwa nzuri 4.Jiko zuri la kisasa la makabati 5.Public toilet and Bathroom (Bafu na Choo cha ndani) 6.Private Electricity Meter (Luku yako) 7.Dawasco water supply (Maji ya bomba yapo) 8.Parking Space 9.Paving block 10.Fenced Service charge Elfu 50

Emmanuel M.

Member since 2022.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar Es Salaam