13.12.2024Tanga
Details
Description
tunauza nyumba yetu ipo sehemu ya biashara ina maduka. bei mazungumzo yapo. hakuna dalali ninaeuza ni mtoto wa mmoja wa wamiliki. karibu sana. hakuna mgogoro ndugu wote wameafikiana kuuza
Chat with Omar I. A.
Call Omar I. A.