20.05.2025Dar es Salaam

HII TSHS.25 MILIONI TU,KIBADA

TZS 25 000 000

Details

Terms
Monthly in advance
Price per square unit
No
Square units
350 m2

Description

Hii ni nyumba nzuri mpya. Unamalizia mwenyewe ujenzi mdogo tu. Kama huna makuu unahamia na kuishi pasi na bughudha na mtu. Utalipa Kodi hadi lini? Kwa Tshs 25 Milioni tu za Kitanzania nawe TUNAKUINGIZA kwenye Daftari la WENYE NYUMBA MJINI. Kubwa kuliko, unamiliki nyumba SIO KIGAMBONI TU. Bali ENEO LA KIBADA, NA HIYO OFA NDIO WOYOOOOO! Vyumba 3 (Masta 1 ) na Jiko la nje. USIAGE MTU BEBA NA NJOO WEWE,FAMILA NA PESA KABISA TUMALIZE ___ Dalali 10% Kuona Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI)

Dalalitz G.

Member since 2024.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam