Description
-Umbali kutoka Barabara kuu ya Kilwa Road ni KM 2.5 -Nyumba ina vyumba ina vyumba vinne vyote master. -Ukiwa gorofani unaliona daraja la Nyerere la Kigamboni -Kuna Chumba Cha mazoezi, ofisi, parking ya gari, sebule ya juu, service room, kitchen, dinning, public toilet. -Kuna Kisima hamna maji ya Dawasa. -Eneo lina hati safi kabisa