Details
Description
Ghorofa nzuri yenye nafasi. Ipo SALASALA KILIMAHEWA. Ukubwa wa Kiwanja SQM.600. Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara. Vyumba 3 ( Masta 1) Pia Ina Sebule,Jiko,Dining-room, Store na Choo cha Familia ndani. __________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. _________zw Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.