Details
Description
Hii ni nyumba nzuri ya Ghorofa yenye Sakafu mbili na katika Kiwanja kikubwa. Ipo umbali wa mita 800 kutoka Barabara ya Morogoro. Eneo ni KIBAMBA-SHULE. Kiwanjabkina ukubwa wa SQM. 2,800. Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara. _________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. _________mpg