Details
Description
Hii ni nyumba nzuri ya kisasa, yenye nafasi. Ni ya KUHAMIA. Mtaa wa Wenye nazo. Salama na tulivu. Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 2,000 Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara. Vyumbac5 vya kulala (5) Kuna Masta,Sebule,Jiko,Dining-room, Store na Choo cha Familia ndani. Pia kuna nyumba ndogo inayojitegemea pia. Unaweza kuifanya ya Wageni, Msaidizi au, ya Mlinzi. ________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) ________dtKj