18.05.2025Dar es Salaam

GHOROFA ROOM 4, GOBA KULANGWA

TZS 90 000 000

Details

Terms
Monthly in advance
Price per square unit
No
Square units
700 m2

Description

Hii ni nyumba ya KUMALIZIA UJENZI. Ghorofa ya Sakafu mbili. Ipo eneo la GOBA-KULANGWA. Wastani wa kilomita 2 tu kutoka Barabara ya Lami ya Goba/Madale. Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 700. Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara. Vyumba 4 vya kulala (Masta 1) Pia kuna Sebule,Jiko,Dining-room, Store na Choo cha Familia ndani. ________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. _______mpg

Dalalitz G.

Member since 2024.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam