01.03.2025Dar es Salaam

GHOROFA PAGALE, RM 4 CHAMAZI

TZS 40 000 000

Details

Terms
Monthly in advance
Price per square unit
No
Square units
380 m2

Description

PAGALE hili ni la kisasa. Lipo umbali wa mita 400 tu kutoka Barabara ya Lami. Eneo ni MBAGALA CHAMAZI. Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 380. Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO. Vyumba 4 ( 2 Vyoo ndani) Pia kuna Sebule,Jiko,Dining-room, Store na Choo cha Familia ndani. _________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. _________mpg Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.

Dalalitz G.

Member since 2024.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam