Description
Lina vyumba 31 gorofa ya kwanza hadi ya nne. Gorofa ya tano kuna resteurant, bar, conference na office za hotel. Chini kuna maduka makubwa 3, viduka vidogo vinavyo julikana kama vikwapa 9 na duka dogo 1 la wakala wa shughuli za mpesa na benki. Jengo linatoka mtaa hadi mtaa, Jengo lipo kariakoo, linauzwa Dollars milioni 2 na laki mbili