GHOROFA INAUZWA NA MAHAKAMA IPO TEGETA NJIAPANDA WAZO
TZS 300 000 000
Description
GHOROFA INAUZWA KWA IDHINI YA MAHAKAMA, GHOROFA LIPO TEGETA NJIAPANDA YA WAZO LIPO MITA 30 KUTOKA BAGAMOYO ROAD, GHOROFA LINA VYUMBA 48 VYOTE SELF CONTENNER, KUNA RESTAURANT NA BAR, NJOO UKAGUE GARAMA ZA KUPELEKWA SAITI NI ELFU 20,000/=