15.05.2025Dar es Salaam

GHOROFA INAUZWA NA BANK GOBA

TZS 150 000 000

Details

Terms
Monthly in advance
Price per square unit
No
Square units
300 m2

Description

Ni ya Sakafu mbili. Ipo GOBA S3NTA. Wastanj wa mita 200 tu kutoka Barabara ya Lami. Ina jumla ya vyumba vya kulala vitatu. Kila Chumba n Choo chake. Pia kuna Sebule,Jiko,Dining-room,Store na Choo cha Familia ndani. Vilevile kuna Frem moja ya Biashara. Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 300. Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO. ___________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000 (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. ___________jj

Dalalitz G.

Member since 2024.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam