Details
Description
Haya Maduka yanaiangalia Barabara ya Morogoro. Yote Yyana Wapangaji kwa sasa. Kiwanja SQM.150. KIMEPIMWA. Kodi ya jumla kwa mwezi yanaingiza Tshs.2,400,000. (Sema, MILIONI MBILI NA LAKI NNE KWA MWEZI) Ni BANK inayosimamia uuzwaji. WAHI UWEKEZE SEHEMU INAYOLIPA NA ISIYOUMIZA KICHWA KUSIMAMIA ____ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. ____mpg Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.