Description
Boma lenye kiwanja kikubwa sana linauzwa kihonda kilimanjaro karibu na stesheni ya mwendokasi, lina vyumba vitano vya kulala ,vyumba vitatu ni masta, umeme upo na maji yapo, kuna fensi pande mbili ndefu tayari,,sehemu imejengeka vizur sana ,ukubwa wa kiwanja ni sqm 1200,lina hati miliki na halidaiwi manispaa,bei milion 25,0652644084/0734443403