19.12.2021Tanzania

Boma Linauzwa Kihonda Azimio Morogoro

TZS 13 000 000

Description

BOMA LINAUZWA LIPO KIHONDA AZIMIO MOROGORO MJINIBOMA LIPO ENEO LA AZIMIO NA LPO SEHEMU INAYOFIKIKA VIZURI.BOMA LINA VYUMBA VITATU VYA KULALA NA KIMOJA NI MASTER, SEBULE, JIKO NA PUBLIC TOILET.BOMA LIPO KWENYE KIWANJA CHENYE UKUBWA WA 20 KWA 30.PIA SHIMO LA CHOO LIMESHACHIMBWA.BOMA LIPO KARIBU NA HUDUMA ZA JAMII.BEI NI MILIONI KUMI NA TATU(13, 000, 000)KWA MAWASILIANO ZAIDI0752481398/0714444838

Mwalimu F. Y. M.

Member since 2019.
xxx xxx xxx xxx

User

Location