Details
Description
Hapa kuna Apartment moja ILIYOKAMILIKA. Ya Chumba kimoja cha kulala, Sebule,Jiko na Choo ndani. Pia kuna MAPAGALE mawili. ●Moja lina pande mbili na limeishia hatua ya LINTA. ●Lingine limeishia hatua ya KATI KUFIKIA LINTA. Mapagale YOTE MAWILI kila moja lina vyumba viwili vinavyojitegemea na kila chumba kina Sebule,Jiko na Choo. Ni nyumba ya Biashara ya KUPANGISHA. Kiwanja SQM.570. Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO. _____ Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI)